Tuesday, September 17, 2013

WAMILIKI WA BLOG TANZANIA WAPEWA SEMINA NA TCRA

BW MUNGY KUTOKA TCRA AKIWA ANAZUNGUMZA KATIKA SEMINA HIYO
 mamlaka ya mawasiliano tanzania  TCRA leo wameanza zoezi lake la kutoa semina kwa wamiliki wa blog tanzania semina itakayodumu kwa siku mbili ikiwa na lengo la kuwajengea uzoefu waandishi hao ili kutumia mitandao hiyo kwa mafanikio


BAADHI YA WASHIRIKI WA SEMINA HIYO WAKISILIZA KWA MAKINI KATIKA SEMINA HIYO

SINTA BLOGA MAARUFU AKIWA KATIKA SEMINA HIYO
Akifungua semina hiyo mkurugenzi wa TCRA amesema kuwa kama mitandao ya kijamii itatumika vizuri basi itasaidia katika maendeleo ya taifa na watu wake,

BW BUNDALA NAYE ALIKUWEPO


MKURUGENZI WA TCRA AKIWA ANATOA MAELEKEZO KATIKA SEMINA HIYO YA SIKU MBILIKWA WAANDISHI
semina hiyo itaendelea tena hapo kesho ambapo zaidi ya blogers 50 wamehudhuria

No comments: