.

AZAM YAMTAFUNA MNYAMA TAIFA MUDA HUU

   Kwa mara ya kwanza katika ligi kuu tanzania bara leo timu ya simba imekubali kipigo chake cha kwanza katika ligi hiyo kutoka kwa azam ya magoli mawili kwa moja

   Pamoja na simba kuwa ya kwanza kuandika bao kupitia kwa RAMADHANI SINGANO MESI  haikufua dafu kwa mchezaji KIPRE CHECHE ambaye amesawazisha goli hilo na kuandika la pili na la ushindi katika mchezo huo uliomalizika muda huu katika uwanja wa taifa jijini dar es salaam

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.