.

BABU SEYA MGUU NJE MGUU NDANI,KESI YAKE YASIKILIZWA LEO,KESHO MAAMUZI KUTOLEWA,WATANZANIA WATAKIWA KUMWOMBEALeo, Jumatano, jopo la majaji watatu wa Mahakama ya Rufani nchini Tanzania limeipitia upya hukumu yao.

Katika rufaa hiyo leo wakili wa Babu Seya na Papii Kocha ameiomba mahakama hiyo ifute ushahidi na waachiwe huru lakini serikali imepinga.
Kutokana na hatua hiyo, *leo mahakama ya rufaa haijafanya uamuzi wowote imewapiga kalenda  na  kesi  inasubiri  hukumu  mpya.

Nguza Viking na Papii Kocha wanatumikia kifungo cha maisha jela kwa makosa ya kubaka na kulawiti watoto wadogo wa shule ya msingi.

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.