.

HAYA SASAA RAISI MPYA WA TFF HUYU HAPA,NA KURA ALIZOPATA

Kwa taarifa tulizozipata hivi sasa ni kwamba Jamal Malinzi ameshinda kitu cha urais wa shirikishi la soka nchini TFF baada ta kumshinda mpinzani wake Athumani Nyamlani. Pia Wallace Karia amewabwaga Iman Madega na Ramadhan Nassib katika kiti cha umakamu, kwa taarifa zaidi endelea kutembelea mtandao huu
KURA ZILIKUWA HIVI
KURA: Malinzi 73, 
Nyamlani 52 
kwenye Umakamu Karia 67, 
Nasibu 52, 
Madega 6. 
Matokeo haya ni rasmi
You might also like:

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.