Saturday, October 12, 2013

KAMA ULIKOSA PICHA ZA AJALI MBAYA ILIYOTOKEA HUKO TANGA .TAZAMA PICHA

Lori la Mizigo likiwa limeacha njia jana, baada ya kugongana na basi katika eneo la Kabuku mkoani Tanga na kuyahusisha magari matatu katika ajali hiyo. (Picha na Francis Dande)



Baadhi ya watu wakishuhudia ajali iliyoyakutanisha malori mawili pamoja na basi la abiria lenye namba za usajili T 158 BXG, iliyotokea jana katika eneo la Kabuku, mkoani Tanga.

No comments: