.

KWA MUJIBU WA ZITO KABWE HUU NDIO MSHAHARA WA RAISI KWA MWEZI DUUUUUUH


 

                 Zitto alitoa kauli hiyo jana mjini Igunga, wakati akitangaza mshahara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa mujibu wa Zitto, kwa mwaka kiongozi huyo wa nchi analipwa Sh384 milioni ambazo ni wastani wa Sh32 milioni kwa mwezi bila kukatwa kodi.

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.