.

TANZANIA MWENYEJI WA MKUTANO WA VYOMBO VYA UTANGAZAJI VYA SADC.JK MGENI RASMI

MKURUGENZI WA TBC NDG CLEMENT MSHANA PAMOJANA VIONGOZI WENGINE WA SHIRIKAHILO WAKIZUNGUMZIA MKUTANO HUO
                               Tanzania impata nafasi ya kuwa mwenyeji wa mnkutano mkubwa wa mwaka wa vyombo vya habari vya utangazaji vya nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa africa.mkutano huo amnao umeandaliwa na chama cha vyomboi vya utangazaji vya nchi hizo SOURTHEN AFRICA BROADCASTING ASSOCIATION au kwa kifupi SABA unatarajiwa kufanyika jijini arusha tarehe 21 hadi 24 mwezi wa kumi mwaka huu katika ukumbi wa AICC jjini arusha

            Akizungumza na waandishi wa habari jijini dar es salaam mkurugenzi wa TBC  CLEMENT MSHANA amesema kuwa mkutanohuo unatarajiwa kufunguliwarasmi na raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania MH JAKAYA MRISHO KIKWETE huku viongozi wengine wengi kama waziri wa habari,vijana utamaduni na michezo,waziri wa maliasili na utalii pamoja na mawasiliano sayansi na technologia wakitarajiwa kuwepo.

             Katika mkutano huomada mbalimbali zitajadiliwa ikiwemotechnologia ya digit na changamoto zake huku kauli mbiu ya mkutano huo ikiwa ni NAFASI YA VYOMBO VYA HABARI KATIKA KUKUZA UTALII

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.