.

KUWA WA KWANZA KUTIZAMA JINSI MALINZI ALIVYOKABIDHIWA OFISI ZA TFF LEO MUDA MCHACHE ULIOPITA

RAISI MPYA WA TFF AKIWASILI KATIKA VIWANJA VYA SHIRIKISHO HILO KWA FURAHA NA MWANAE KWA AJILI YA KUKABIDHIWA OFISI RASMI

RAIS MSTAAFU WA TFF TENGA AKIWASALIMIA BAADHI YA WANAHABARI BAADA YA KUWASILI LEO KATIKA MAKAO MAKUU YA TFF

KARIBU SANA MH RAISI MPYA
GEOFREY NYANGE KABURU AMBAYE SASA NI MJUMBE WA TFF AKIWA KATIKA HAFLA HIYO

TENGA ALIPATA NAFASI YA KUZUNGUMZA NA WANAHABARI WALIOKUWEPO HAPO AMBAPO KWANZA AMEMPONGEZA SANA RAISI HUYO MPYA KWA USHINDI WAKE NA KUMTAKIA MAFANIKIO MEMA KATIKA KAZI YAKE HIYO MPYA HUKU AKIMSIHI AENDELEZE SOKA LA VIJANA WADOGO NA WATOTO KWANI NDIO CHANGAMOTO KUBWA SANA KATIKA SOKA LA TANZANIA KWA SASA

UMATI MKUBWA WA WANAHABARI NA WAJUMBE WENGINE WAKISIKILIZA KWA MAKINI
NAKUKABIDHI OFISI SASA RASMI MH RAISI

MALINZI AMEPATA NAFASI YA KUZUNGUMZA AMBAPO AMEAHIDI MAKUBWA SANA KATIKA SOKA LA TANZANIA


SASA BWANA MIMI NAONDOKA NAKUACHIA OFISI YAKO BWANA MKUBWA MIMI NAENDA KUPUMZIKA NYUMBANI E,HAPO TENGA AKIAGA KUONDOKA KATIKA OFISI ZAKE HIZO ZA ZAMANI


About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.