.

MWANAJESHI FEKI AKAMATWA UWANJA WA TAIFA AKICHEKI MECHI NA SARE ZA JESHI


        Jeshi la polisi kanda maalum ya dar es salaam limefanikiwa kumkamata mtu mmoja mbaye ni mwwanajeshi feki akiwa katika uwanja wa taifa jijini dar es salaam akitazama mechi huku akiwa amevaa sare kamili za jeshi la wananchi wa tanzania bila uwoga wowote

      Akizungumza na wanahabari jijini dar es slaam kamishna wa polisi kanda maalum ya dar es salaam SULEMAN KOVA amesema kuwa mtu huyo ambaye jina lake halijawekwa wazi kuwa alikamatwa baada ya asskari kumtilia mashaka makubwa juu ya cheo chake cha nyota tatu kutokana na kutojua kanuni za salam za askari ndipo walimdai kitambulisho na kukuta kuwa ni mwanajeshi feki

      KOVA amesema kuwa baada ya mahojiano iligundulika kuwa jamaa huyo alikuwa na ndugu yake ambaye ni mwanajeshi ambapo alimwibia sare hizo na kutika kwa nia ya kutapelia
FULL JEZI YA JWTZ AMBAYO LAMAA HUYO ALIKIWA AMEJIVALIA KAMA ZA KWAKE

KAMISHNA KOVA AKIZUNGUMZA NA WANAHABARI LEO JIJINI DAR ES LAAM

WANAHABARI WAKIWA MAKINI KUSIKILIZA

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.