TRA YAZINDUA WIKI YA MLIPA KODI TANZANIA

 BW ALLAN KIWIA AMBAYE NI MENEJA WA HUDUMA WA TRA AKIZUNGUMZA WAKATI AKIZINDUA WIKI YA MLIPA KODI TANZANIA INAYOFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR ES SALAAMbw
      Mamlaka ya mapato tanzania leo imezindua rasmi wiki yake ya mlipa kodi nchini ambayo huazimishwa kila mwaka huku wiki hiyo kwa mwaka huu ikifanyika jijini dar es salaam katika viwanja vya mnazi mmmoja
  
     Akizungumza katika maadhimisho hayo meneja wa huduma kwa mlipa kodi ambaye alimwakilisha kamishna wa TRA bw ALLAN KIWIA amesema kuwa serikali inaendeshwa kwa kodi za walipa kodi hivyo ni lazima wafanya biashara wahahaikikshe wanalipa kodi kwa umakini ili kuweza kuiletea serikali mapato

     Aidha amewataka wakazi wa dar es salaam kujitokeza kwa wingi katika maadhimisho hayo ili kupata nafasi ya kujionea shughuli zinazofanywa na TRA na wapate nafasi ya kuuliza maswali.ambapo maadhimisho hayo yatafungwa tarehe nane mwezi huu na makamu wa raisi wa tanzania.
 
KATIKA MAONYESHO HAYO MAKAMPUNI MBALIMBAL;I YAMESHIRIKI KAMA WALIPA KODI MUHIMU HAPO NI WAWAKILISHI KUTOKA AIRTEL WAKIMWELEKEZSA MGENI RASMI MAMBO MBALIMBALI KUTOKA KATIKA KAMPUNI HIYO

ALLAN KIWIA PIA AMEPATA NAFASI YA KUJIONEA JINSI MASHINE ZA EFD ZINAVYOWASAIDIA WAFANYA BIASHARAAbout HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.