Thursday, November 14, 2013

WANAWAKE SAFI SANA ---MAKAHABA NA WATEJA WAO WATIWA NGUVUNI KISHA KUFIKISHWA MAHAKAMA YA JIJI LA DAR ES SALAAM.

Wanawake wanaodaiwa kufanyabiashara ya ukahaba wakiwa Mahakama ya Jiji la Dar es Salaam, baada ya kukamatwa maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Kinondoni. Oparesheni ya kuwakama wanawake hao inafanywa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni.

Vijana waliokamtwa wakidaiwa kukutwa wakifanya mapenzi na wanawake hao wakificha sura zao wasipigwe picha.


bofya hapo chini utizame picha zote za tukio------







No comments: