Monday, November 11, 2013

yemetimiaaaa--WALIOMKATA KWA MAPANGA DK MVUNGI HAWA HAPA ,POLISI YAWATAJA LEO

KAMA KAWA WAANDISHI TUPO MAKINI TUNASIKILIZA MKUTANO HUO
       Jeshi la polisi dar es salaam limefanikiwa kluwakamata watu ambao wanaaminika kuwa ndio waliomdhuru kwa mapanga mjumbe wa tume ya mabadiliko ya katiba na kiongozi wa NCCR dk SENKONDO MVUNGI nyumbani kwake maeneo ya kibamba jiji dar es salaam

      Akizungumza na waandishi wa habari jijini dar es salaam kamishna wa kanda maluum leo ameema kuwa watuhumiwa hao wamekamatwa kutokana na ushirikioano mzuri wa ndugu pamoja na watanzania wote 

       Amewataja watuhumiwa hao kuwa ni -MSIGWA OPERA,CHIBANGO MAGOZI,AHAMADI ALLY,ZAKARIA RAFAELI,MANDA SALUM,PAULO JAIROS,JUMA KHAMISI,LOGISHU SEMALIKI,MASUNGA MAKENZA wote wakazi wa jijini dar es salaam
WAZIRI WA MABO YA NDANI EMANUEL NCHIMBI AKIZUNGUMZA NA WANAHABARI JUU YA SAKATA HILO JIJINI DAR ES SALAAM

KAMISHNA WA POLISI KANDA MALUUM YA DAR ES SALAAM SULEMAN KOVA AKIONYESHA MAPANGA AMBAYO YALITUMIKA KUMDHURU KIONGOZI HUYO NYUMBANI KWAKE

No comments: