Taswira mbalimbali za mkutano
wa Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa alioufanya jimboni kwa
aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe jimboni Kigoma
Kaskazini ambapo mkutano ulikosa watu kabisa na kujikuta peke yake kama
picha zinavyojionyesha.





KUTOKA POLICCM HADI POLISCHADEMA HAPA CHINI LEO KIGOMA
Watanzania naomba pia tujifunze huu Unafiki wa Slaa,Huyu ndiye anakimbia kwenye MEDIA na kuhema hana imani na Jeshi la Polisi,hataki kulindwa na Jeshi la Polisi eti Nguvu ya Umma inamlinda,Huyu Slaa ndiye anasema Polisi wa Tanzania wanafanya kazi ya CCM,Hizi Picha ni ushahidi tosha kuwa NJIA YA MNAFIKI NI FUPI SANA,LEO ANAWAPIGIA MAGOTI polisi wamsaidie asipate kipigo kutoka kwa Nguvu ya Umma aliyokuwa anasema inamlinda.Hongereni sana JESHI la Polisi kwa Kutekeleza majukumu yenu bila kujali CHAMA,Hawa wanasiasa wanatukana mamba wakati hawajavuka Mto

credit to Jamiiforum/Jukwaa la siasa
No comments:
Post a Comment