Tuesday, January 28, 2014

HABARI ILIYOTIKISA NCHI LEO NI MSANII WA BONGO MOVIE KUJINYONGA LEO HUKO TANGA AKIWA KAZINI


           MSANII Victor Peter kutoka Bongo Movie afariki dunia kwa kujinyonga katika gest moja iliyotambulika kwa jina la SAFARI JUNIOUR  ilioko maeneo ya Kisosora huko mkoani Tanga.
ENDELEA HAPA----------

          Hapo pichani ni mwili wa marehemu ulivyokuwa ukipakiwa katika gari kupelekwa katika hospitali ya mkoa wa Tanga Bombo,
Chanzo cha habari kiliieleza website ya HABARI24 BLOG kuwa msanii huyo alikuwa katika harakati zake za kushut filamu yake mpya ambayo alicheza kama muhusika mkuu katika filamu hiyo.

   Kilichowashangaza wenzake ni kwamba filamu iliisha jana Jumatatu 27/01/2014 na story ilimalizikia Vicktor kufa kwa kujinyonga matokeo yake leo alfajiri Victor akakutwa amejinyonga kweli na kuiaga dunia, Mpaka sasa chanzo cha kifo chake bado hakijatambulika.

No comments: