Saturday, February 1, 2014

breaking newzzz---ASKARI POLISI WATANO WAFARIKI DUNIA PAPO HAPO KATIKA AJALI MBAYA ILIYOTOKEA JANA USIKU KWA KUGONGANA NA BASI DODOMA.

           Ajali mbaya ya kusikitisha imetokea Jana usiku majira ya saa nane ambapo gari ya ya polisi iliyokuwa inatoka Dodoma kwenye sherehe ya polisi iliyokuwa inafanyika katika ukumbi wa mipango.

       Gari hiyo iliyokuwa imebeba polisi na ilikuwa inaelekea kongwa imegongana na basi ya Mohamedi katika eneo ambalo ni nje kidogo ya mji (Mitumba) ambapo wanawake wawili na wanaume wa tatu wamefariki papo hapo Ambao

No comments: