Friday, February 21, 2014

CHUKUA MUDA WAKO KUSOMA ALICHOKISEMA MTIKILA JUU YA BUNGE LA KATIBA--HATARI SANA



         Mchungaji Mtikila leo  amekandia bunge lote la katiba na kusema anasikitka soon atalicha bunge hilo maana limechaguliwa kihuni.Nasema hivi wambieni kabisa nimesema hili ni bunge la kihuni limechaguliwa kihuni ndio maana unakutana na mambo ya kishenzi mnayoendelea kuyaona.
         Nasema tangia uhuru sijapata kuona bunge la kihuni kama hili.Sitoshangaa maamuzi ya kihuni na kishenzi kutokea siku tunaagana pale nje.Huyo ni rev. Christopher Mtikila.

No comments: