Saturday, March 1, 2014

BREAKING NEWZZ--KUTOKA HAPA UWANJA WA TAIFA,CHEKI PICHA ZA KINACHOENDELEA KATI YA YANGA NA WAMISRI,SIMBA WAFANYA FUJO

viongozi wa yanga wakiwatuliza mashabiki wao

Mashabiki wa timu ya National Al Ahly wakiongea na Askari Polisi kuomba wakalizuie tatizo hilo.

Askari Polisi wakiongea na Viongozi wa Timu ya Yanga ili waweze kwenda kuwaomba mashabiki wao waaondoke katika upande ule unaodaiwa kuwa ni wa Mashabiki wa Simba.

clip_image002
mashabiki wa simba wakifanya fujo muda huu


No comments: