Friday, March 21, 2014

BREAKING NEWZZ.WAKATI NCHI IKIWA DODOMA INAHAMIA TENA HAPA--.AJALI MBAYA YA MAGARI 6...KITUO CHA MABASI UBUNGO JIJINI DAR...! MUDA HUU CHEKI HAPA

Mkusanyiko wa watu wakiwa eneo la ajali Ubungo jijini Dar es Salaam.
Ajali mbaya imetokea ubungo lango kuu la kuingilia mabasi yatokayo mikoani. Ajali imehusisha magari 6 likiwemo UDA mpaka sasa haijajulikana idadi ya watu waliopoteza maisha.
Post a Comment