.

KESHO NI UCHAGUZI MDOGO KALENGA---CCM WALIFUNGA KAMPENI ZAO HIVI

Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana (kulia) ,Naibu Katibu Mkuu CCM (Bara) Mwigulu Nchemba (Kushoto) kwa pamoja wakiinua mikono juu pamoja na mgombea wa ubunge jimbo la Kalenga Ndugu Godfery Mgimwa .

odfrey Mgimwa akiwa amebebwa juu na wanachama na wapenzi wa CCM wakati akiingia kwenye viwanja vya mkutano Kalenga A. Moja ya sifa kubwa inayomuhakikishia ushindi Godfrey Mgimwa ni kutambua kuwa wana Kalenga ni ndugu zake ,wazazi wake, na marafiki zake na yupo tayari usiku na mchana kushiriki kuleta maendeleo ya jimbo hio.

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.