MASKINI ASKARI MWINGINE WA USALAMA BARABARANI( TRAFIC) AGONGWA NA GARI TENA HUKO MOROGORO

Askari wa  kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Morogoro Analijulina Bw Crispan 'Mandela' amegongwa na gari eneo la Mtawala Barabara inayotoka Msavumu  kuingia katikatika ya Mji wa Morogoro.
 
Hii ni Mara ya Pili kwa Askari Huyo Kugongwa na Gari Mkoani Hapa akiwa kazini.
Tukio hilo lilitokea jana wakati Askari Huyo alipokuwa Eneo la Kituo cha kushusha Abiria Kwenye Shule ya Msingi Ya Mtawala Mkoani hapa
Kwa sasa Afande huyo imelazwa wodi namba moja hospital ya Rufaa ya mkoa wa Morogoro.
Na Jafe Jackson

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.