SASA NI RASMI CCM YAIBWAGA CHADEMA HUKO KALENGA MATOKEO YA JUMLA HAYA HAPA


 
 Wanakalenga hii leo Wamechagua Mbunge wa Jimbo lao na haya hapa ndio FINAL RESULT,MATOKEO YA JUMLA.

CCM wamepata Kura 22908 
CHADEMA Wamepata Kura 5800 
Chausta 143.
CCM imeshinda kwa asilimia 79.4 
Chadema kwa Asilimia 20.1 
Chausta Kwa Asilimia  0.5
HONGERA GODFREY WILLIAM MGIMWA MBUNGE WA JIMBO LA KALENGA AKIWA NA UMRI WA MIAKA 32 TU.

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.