Friday, April 11, 2014

samahani kwa picha hizi --AMKA NA PICHA ZA AJALI YA BASI LA SMART ENEO LA LUGOBA AMBAPO WATU 2 WAMEFARIKI DUNIA

Mmoja wa majeruhi wa ajali hiyo akiwa amepoteza fahamu baada ya kupata mshtuko
Basi la smart likiwa limepinduka eneo la Lugoba




Watu wawili Wamefariki Dunia Kutokana na Ajali ya Basi la Smart Asubuhi Ya leo.
Basi Hilo Lililokuwa likitokea Jijini dar es salaam Kuelekea Mombasa Nchini Kenya Limeacha Njia Na Kupinduka na Kusababisha Vifo vya watu Wawili pamoja na Kujeruhi abiria wanaokadiriwa kufika 20 .Ajali hiyo imetokea katika Eneo la Mkata na Lugoba  Barabara Kuu ya Chalinze Segera.PICHA NA HABARI NA DJ SEK

No comments: