HABARI ILIYOJIRI JIJINI MUDA HUU---WLAC WAZINDUA NAMBA YA SIMU AMBAYO UNAWEZA KUPIGA BURE NA KUPATA MSAADA WA KISHERIA-TUKIO NZIMA LIKO HAPA

Mgeni rasmi akikabidhiwa zawadi kama ishara ya asante kwa kuzindua huduma hiyo
Mgeni rasmi katika uzinduzi huo ambaye ni jaji mstaafu wa mahakama ya rufani EUSERBIA MUNUO akikata utepe wa kuzindua ofisi hiyo ya huduma ya sheria  kwa njia ya simu leo jijini dar es salaam
Kituo cha msaada wa sheria kwa wawanawake WLAC leo kimezindua rasmi huduma ya kutoa msaada wa kisheria kwa njia ya simu ambapo wamezindua namba mpya ya simu ambayo mteja unaweza kupiga bure na kupata msaada wa kisheria kutoka kwao

Muonekano wa ofisi hiyo kwa nje

Wadau wa WLAC pamoja na mgeni rasmi katika picha ya pamoja baada ya uzinduzi wa huduma hiyo leo jijini dar es salaam

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.