Friday, June 13, 2014

RAIS DKT. SHEIN AONDOKA NCHINI

IMG_3687Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama  Mwanamwema Shein wakiagana na Vingozi mbali mbali na wazee wa Chama katika ukumbi wa Mapumziko ya Viongozi VIP   uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karumre Zanzibar,wakiondika kuelekea nchini Uingereza kwa safari maalum.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments: