Saturday, August 2, 2014

KINACHOENDELEA DAR MUDA HUU,MDAHALO MKUBWA WA KATIBA--PICHA ZA AWALI


Mdahalo mkubwa unaojadili swala la katiba na mustakabali wake unafanyika muda huu ambapo mdahalo huu unatarajia kutoa maoni yake juu ya mchakato mzima wa kabiba hadi hapa ulipofikia,mdahalo huu umeandaliwa na chama cha wanasheria tanzania TLS kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa maswala ya katiba tanzania.mdahalo huu unaanza muda huu hapa katika ukumbi wa ubungo plaza jijini Dar es salaam.watoa masa ni Patrice Lumumba toka kenya na Profesa JENERAL ULIMWENGU kutoka tanzania
Watanzania wengi sana wanajitokeza hapa ndani ya ukumbi huu kama na wewe upo karibu unaweza kusogea hapa kutoa maoni yako,kama upo mbali pia unaweza kutizama mdahalo huu moja kwa moja ITV na RADIO ONE








No comments: