Sunday, August 10, 2014

MAJAMBAZI YANASWA BAADA YA KUMPORA MTU KWA KUMPIGA RISASI YA KIFUA



Ilikuwa ni katika jaribio la wizi ambapo majambazi hao walimpiga risasi ya kifua mtu mmoja kabla ya kumpora katika

     Maeneo ya kiwanda cha Serengeti  kilichopo Temeke jijini Dar es Salaam.Kabla ya kufanikiwa tukio hilo, majambazi hao walikurupushwa na Polisi na kukamatwa wakiwa na Bastola pamoja na risasi nne.

 Baada ya kukamatwa majambazi hao wamepelekwa kituo cha Polisi Chang’ombe kilichopo temeke.

Chanzo: SHUHUDA .....Kwa taarifa kamili kutoka jeshi la Polisi itawajia hivi punde.:


No comments: