Wednesday, October 8, 2014

PICHA JINSI HALIMA MDEE ALIVYOTOKA SEGEREA LEO

Mwenyekiti wa baraza la wanawake chadema Halima Mdee wakimfariji wanachama wenzake mara baada ya kupata dhamani na kutolewa leo

Mwenyekiti wa baraza la wanawake taifa Halima Mdee akiwa katika gari mara baada ya kuachiwa kwa dhamana katika mahakama ya kisutu leo

No comments: