Thursday, October 16, 2014

PICHA NYINGINE TATU ZA MKUTANO WA KAMATI KUU CCM DODOMA

1a
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Makamu mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula wakati wa ufunguzi wa kikao cha NEC mjini Dodoma leo.(picha na Freddy Maro).
2a
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri kuu ya CCM(NEC)  kilichofanyika katika ukumbi wa White House mjini Dodoma leo.
3a
Baadhi ya wajumbe wa NEC wakiwa katika kikao hicho






No comments: