Friday, October 31, 2014

samahani kwa picha inayohuzunisha--AJALI MBAYA MTO WAMI MUDA HUU

HABARI ZA HIVI PUNDE...

Ajali mbaya daraja la Wami basi la Simba Mtoto na Lori baada break za Lori kufeli, 
Dereva wa Lori amepoteza maisha hapohapo...
Habari ambazo tumepenyezewa hapa kutoka daraja la wami ni kuwa lori moja  moja limefel breck na kuvaana na basi la simba mtoto maeneo hayo na kusababisha kifo cha dereva wa lori hilo

No comments: