Monday, October 20, 2014

TIGO YAZIDI KUWAPAGAWISHA WATEJA WAKE DODOMA KWENYE TAMASHA LA WELCOME PARK--TUKIO NZIMA LIKO HAPA


  Wateja wakipata maelezo toka kwa watoa huduma wa kampuni ya Tigo ndani ya basi la Kidigitali lililokuwepo uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma mwishoni mwa wiki, wakati wa ziara ya Tigo ya kampeni ya welcome pack mkoani humo.

Mratibu wa Masoko wa Tigo kanda ya Kaskazini na Kati Bw.Saitoti Naikara akiongea na umati uliojitokeza kwenye uzinduzi wa welcome pack uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma mwishoni mwa wiki.

Msanii Emmanuel Simwinga maarufu Izzo Business akipiga bonge la shoo kwenye Tamasha la Tigo Welcome Pack uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma. Kifurushi cha welcome pack kinatoa muda wa maongezi wa dakika 20, mb175, sms bila kikomo na shilingi mia 500 kwenye akaunti yake ya tigopesa, yote hayo kwa shilingi 1000 mteja atakaponunua laini yake ya Tigo

.Wasanii wa Original Komedi wakiwapa burudani wananchi waliojitokeza kwenye uzinduzi wa welcome pack kwenye uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma mwishoni mwa wiki. Ziara ya Tigo welcome pack itaendelea mkoani arusha jumapili ya wiki hii



No comments: