Monday, October 27, 2014

TAMASHA KUBWA LA TIGO WELCOME PACK LAFANA JIJINI ARUSHA.PICHA ZIKO HAPA

 Wasanii wa kikundi cha Ngoma cha Manyara Group  Mkoani Arusha kikiwapa burudani wakazi wa mkoa huo waliofurika kwenye uwanja wa Sheikh Amri Adeid mwishoni mwa wiki kushuhudia tamasha la Tigo welcome pack, Kampuni ya Tigo imeanzisha kifurushi cha welcome pack kitakachomwezesha mtumiaji wa Tigo kupata muda wa maongezi wa dakika 20, mb175,sms bila kikomo na pesa shilingi mia 500 kwenye akaunti yake ya tigopesa, yote hayo kwa shilingi 1000 mteja atakaponunua laini yake ya Tigo.



Wasanii wa kikundi cha Original Komedi kikiwapa burudani wakazi wa mkoa wa Arusha waliofurika kwenye uwanja wa Sheikh Amri Adeid mwishoni mwa wiki kushuhudia tamasha la Tigo welcome pack, Kampuni ya Tigo imeanzisha kifurushi cha welcome pack kitakachomwezesha mtumiaji wa Tigo kupata muda wa maongezi wa dakika 20, mb175,sms bila kikomo na pesa shilingi mia 500 kwenye akaunti yake ya tigopesa, yote hayo kwa shilingi 1000 mteja atakaponunua laini yake ya Tigo.
Msanii Ibrahim Mussa Maarufu Roma Mkatoliki akiwapa burudani wakazi wa mkoa wa Arusha waliofurika kwenye uwanja wa Sheikh Amri Adeid mwishoni mwa wiki hii ni moja ya sehemu  burudani zitolewazo kwenye kampeni ya kifurushi kipya cha Tigo cha welcome pack. Kampuni ya Tigo imeanzisha kifurushi cha welcome pack kitakachomwezesha mtumiaji wa Tigo kupata muda wa maongezi wa dakika 20, mb175,sms bila kikomo na pesa shilingi mia 500 kwenye akaunti yake ya tigopesa, yote hayo kwa shilingi 1000 mteja atakaponunua laini yake ya Tigo.

Meneja wa mauzo wa Tigo Mkoani Arusha Bw. Aidan Komba akiongea na wananchi waliojitokeza kwa wingi kwenye tamasha kubwa la Tigo welcome pack uwanja wa Sheikh Amri Abeid mkoani Arusha mwishoni mwa wiki.

Mmoja kati ya watu waliojitokeza kwenye tamasha la welcome pack akipokea zawadi toka kwa mfanyakazi wa Tigo.

Msanii Joseph Haule maarufu kama Professor J akiwapa raha wakazi wa mkoa wa Arusha waliofurika kwa wingi kwenye tamasha la welcome pack uwanja wa Sheikh Amri Adeid mwishoni mwa wiki hii ni moja ya sehemu  burudani zitolewazo kwenye kampeni ya kifurushi kipya cha Tigo cha welcome pack.

No comments: