TAMASHA LA TIGO WELCOME PACK LAFUNIKA MJINI MOSHI--PICHA ZOTE ZIKO HAPA

Wasanii wakundi la Original  Komedi wakitoa burudani kwenye uwanja waUshirika Mjini Moshi wakati wa kampeni ya kifurushi  cha Tigo we lcome pack, Kifurushihichokitamwezesha mtumiaji wa Tigo kupata muda wa maongezi wa dakika  20, mb175,sms bila kikomo na pesa shilingi mia 500 kwenye akaunti yake ya tigopesa, yote hayo kwa shilingi 1000 mteja atakaponunua laini yake yaTigo

Sehemu ya umati uliofurika kwenyeTamash la Tigo welcome pack uwanja wa Ushirika Mjini Moshi.

. Msanii  Emmanuel Mgaya Maarufu Masanja Mkandamizaji akiwapa raha wa kazi wa Moshi waliofurika kwenye uwanja wa Ushirika wakati wa onesho la Tigo welcome pack
Msanii Ibrahim Mussa maarufu Roma Mkatoliki akipiga shoo kwenye tamasha la Tigo welcome pack uwanja wa Ushirika mjini Moshi mwishoni mwa wiki.

Msanii Slivery Mujuni maarufu Mpoki akiwapa burudani wakaziwa Moshi waliofurika kwenye uwanja wa Ushirika hii ni sehemu ya burudani zitolewazo kwenye kampeni ya kifurushi kipya  cha Tigo cha welcome pack.


About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.