Wednesday, December 31, 2014

HABARI KUBWA DAR--APIGWA RISASI AKIKIMBIA MAHAKAMANI KISUTU ASUBUHI HII,NI MTUHUMIWA WA MADAWA YA KULEVYA


Mtuhumiwa wa madawa ya kulevya raia wa Sierra Leone akiwa amepigwa risasi baada ya kutaka kuwatoroka askari magereza katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam.Habari zaid zinaswema kuwa mtuhumiwa huyo alifikishwa katika makhakama hiyo ya kisutu kwa ajili ya kusomewa mashtaka yake ndipo alipoamua kuwatoroka askari na kutaka kukimbia ndipo alipokutana na zahama hiyo.
Taarifa ambazo tunazipata ni kuwa inasemekana kuwa mtuhumiwa huyo amefariki dunia lakini bado hakuna yeyote aliyedhibitisha juu ya kifo hicho na mtandao huu upo makini kuhakikisha unapata ukweli wa taarifa hizi na endapo tutazipata tutakuwekea hapa.PICHA ZAIDI ZIPO CHINI




Kwa habari zaidi ungana nasi baadae


No comments: