Sunday, December 7, 2014

PICHA HII YA RAIS KIKWETE ILIYOTIZAMWA SANA WIKIEND HII ICHEKI HAPA


Hapa   Rais  Kikwete  akifanya  mazoezi    hivi  karibuni  HUKO ikulu   kutokana  na kufanyiwa  operesheni  ya  tezi  dume   ambapo  walimshauri  awe  ana fanya  mazoezi!!!!   Inawezekana  rais  anataka  afya  yake  ikae  sawa   KWANZA  ili  aweze  kufanya  MAAMUZI   yake vizuri    hasa  ile  issue     inayosubiliwa  kwa  hamu   na  watu  wengi  kuhusiana  na  maazimio  ya  bunge  maana  watu   wengi  wamekuwa  wanasema kuwa  Rais  yupo  kimya  sana  kuhusiana  na  kashfa   ya  ESCROW !!!!



No comments: