Thursday, December 18, 2014

RAIS KIKWETE AMTEUA MWANASHERIA MKUU MPYA.


Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dr. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Profesa Justice Ibrahim Juma kuwa mwanasheria mkuu wa serikali (AG).
Uteuzi huo umefuatia baada ya aliyekuwa mwanasheria mkuu Frederick Werema kutangaza kujiuzulu kutokana na skandali ya mabilioni ya akaunti ya Escrow.
Mapema mwezi huu Rais Jakaya Kikwete pia alimteua Profesa Juma Assad (CAG) kuwa mkaguzi na mdhibiti wa hesabu za serikali baada ya Ludovick Utouh kumaliza muda wake

No comments: