Friday, December 5, 2014

WAZIRI MWAKYEMBE AWAPONGEZA FASTJET KWA HUDUMA BORA KWA WATEJA WAKE

Waziri wa Uchukuzi Harrison Mwakyembe akizungumza na wafanyakzi wa kampuni ya ndege ya FastJet wakati wa maadhimisho ya siku yaanga duniani ambapo aliipongeza kampuni hiyo kwa kutoa huduma kwa bei rahisi kwa wasafiri pembeni yake ni Mwenyekiti wa Bunge ya Miundombinu,  Peter Serukamba.
Ofisa wa Mahusiano na Masoko wa kampuni ya ndege ya FastJet Lucy Mbogoro akitoamaelezo kwa ujumbe kwa Waziri wa Uchukuzi Harrison Mwakyembe na ujumbe wake wakati wa maadhimisho ya siku ya anga duniani kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Bunge ya Miundombinu,  Peter Serukamba.


Wafanyakazi wakampuni ya FastJet wakipita mbele ya mgeni rasmi ambae ni Waziri wa Uchukuzi Mh.Harrison Mwakyembe wakati wamaadhimisho ya siku yaanga duniani
Wafanyakazi wa kampuni ya ndege ya Fast Jet wakiwa kwenye picha ya pamoja
Meneja Biashara wa  FastJet, Jean Uku akitoa maelekezo kwa Waziri wa Uchukuzi Harrison Mwakyembe kuhusiana na utendaji kazi wakampuni hiyo wakati wa maadhimisho yasiku ya anga duniani pembeni ya Mwakyembe ni Mwenyekiti wa Bunge yaMiundombinu,  Peter Serukamba

No comments: