.

SENTENSI MOJA NZITO KUTOKA KWA MREMA LEO

Mwenyekiti wa TLP,Augustino Mrema, amesema wanaomtangazia kwamba ni mgonjwa na hawezi kutetea ubunge wake wa vunjo ni wa kupuuzwa na waongo, yeye sio mgonjwa anapeta na yuko fiti kwa mujibu wa ripoti ya Daktari wake wa india na wanaodhani atakufa basi wanajidanganya hafi mtu


About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.