Monday, March 30, 2015

GWAJIMA MOVIE-LIPUMBA AMTEMBELEA HOSPITALINI


 Profesa Ibrahim Lipumba,mchana wa Leo tarehe 30/03/2015, amemtembelea Askofu Josephat Gwajima aliyelazwa TMJ Hospital Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima aondolewa katika chumba cha uangalizi Maalum (ICU) TMJ baada ya kupata nafuu na hali yake kuendelea vizuri.


Picha za Prof Ibrahim alipomtembea Askofu Gwajima HospitaliniPost a Comment