Sunday, March 29, 2015

KUTOKA MKOANI RUKWA JIONI HII

Baadhi ya Abiria na wananchi wa kijiji cha Milundikwa wilayani Nkasi mkoani Rukwa, wakiangalia basi la Ndenjela Express lenye namba za usajili T 850 CRE kutoka Sumbawanga kwenda Mpanda mkoani Katavi ambalo limepinduka jana nyakati za saa 11 jioni. Abiria kadhaa walijeruhiwa na kukimbizwa hospitali ya Mkoa mjini Sumbawanga. Picha na Mussa MwangokaPost a Comment