Saturday, March 28, 2015

PICHA--INAWEZEKANA HUJAONA HISTORIA ALIYOIWEKA MSIGWA LEO HUKO IRINGA


Hizi ni picha kutoka katika mkutano wa CHADEMA leo huko iringa viwanja vya MWEMBETOGWA Manispaa ya Iringa

Hapa Mbunge wa Mbeya Mjini Mh.Joseph Mbilinyi au Sugu akizungumza na wakazi wa Iringa waliofika katika mkutano huo

Hawa ni wananchi wa Manispaa ya Iringa Mjini waliofika kwenye mkutano huo wa Chadema uliofanyika jana katika uwanja wa Mwembetogwa

Post a Comment