PICHA---KUTOKA DAR ES SALAAM-RISASI ZARINDIMA TENA,MAJAMBAZI WAWILI KUTOKA ITALI WAKIONA CHA MOTO SEHEMU YA KITI ALIPOKAA NA KUPIGWA RISASI,
Habari zinasema kuwa polisi mkoani dar es salaam jana mchana walifanikiwa kuwatia mbaroni majambazi wawili ambao inasemekana ni raia wa italia baada ya kupora kiasi cha dola elfu kumi kwa mwananchi ndipo polisi walipoanza mapambano nao na hadi kuwatia nguvuni baada ya luwadhibiti na risasi.PICHA ZOTE KWA MSAADA WA http://jijiletublog.blogspot.com/


 WAKIWA NJE YA APARTMENT YAO WALIKOKIMBILIA
 GARI WALIYOTUMIA KUPORA POLISI WAKIWATIA KWENYE GARI MARA BAADA YA KUWATIA NGUVUNI
 AKIONYESHA KOVU ALILOPIGWA RISASI
 WAKIPANDISHWA KWENYE GARI WOTE WAWILI


About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.