Thursday, May 21, 2015

ALICHOKIFANYA HALIMA MDEE HUKO IRINGA HIKI HAPA


Baraza la wanawake la chama cha democrasia na maendeleo CHADEMA (bawacha) wakiongozwa na mwenyekiti wa baraza hilo ambaye pia ni mbunge wa kawe mh HALIMA MDEE wamefanya mkutano mkubwa katika viwanja vya kihesa mkoani iringa.hapa nimekuwekea picha za mkutano mzima wa leo


Msigwa naye alikuwepo katika mkutano huo





No comments: