Tuesday, May 5, 2015

HALI BADO NI TETE UBUNGO-TIZAMA KINACHOENDELEA HAPA

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akiwa katika majadiliano na Maafisa wa Jeshi la Polisi juu ya namna ya kuumaliza mgomo wa Madereva wa Mabasi katika stendi kuu ya Ubungo, Jijini Dar es salaam leo. Hapo wanasubiriwa viongozi wa Madereva hao.
Kina Ras Makunja wakiwa wametulia garini kuhakikisha usalama unapatikana katika eneo hilo
Hali ilivyo Stendi Kuu ya Mabasi, Ubungo jijini Dar hivi sasa. hakuna basi lililoweza kuondoka siku ya leo.PICHA ZOTE NA MICHUZI BLOG

No comments: