| Jioni hii huko iringa umefamnyika mkutano mkubwa katika viwanja vya mlandege iringa ambapo wazungumzaji wakuu alikuwa mh TUNDU LISU na Mh PETER MSIGWA ambapo lengo kuu la mkutano huo lilikuwa ni kutoa elimu kwa wananchi juu ya mfumo mpya wa uandikishwaji wa daftari la kudumu la wapiga kura BVR.nimekuwekea baadhi ya picha za umati wa wana iringa waliojitokeza katika mkutano huo |
No comments:
Post a Comment