Friday, May 15, 2015

SIKILIZA SABABU ZA LOWASA KUTOKUFIKA CLOUDS FM LEO KWA MAHOJIANO


Kwa takribani wiki moja sasa kumekuwa na matangazo kwenye mitandao ya kijamii na katika baadhi ya radio kuwa aliyekuwa waziri mkuu wa tanzania ambaye kwa sasa ni mbunge wa monduli mh EDWARD LOWASA angezungumza na moja kati ya radio hapa dar es salaam kwa mara ya kwanza tangu ajiuzulu nafasi ya uwaziri mkuu lakini watanzania pamoja na kusubiri kwa hamu mahojiano hayo hayajafanyika hadi leo ijumaa asubuhi.

Nimekuwekea taarifa ya msemaji wake akieleza jinsi hali ilivyokuwa hadi mahojiano hayo yakaahirishwa na lini yatafanyika tena.ametoa pia email ambayo unaweza kuwasiliana moja kwa moja na mbunge huyo kumuuliza maswali na yeye atakuja kuyajibu live kupitia live interview na radio CLOUDS FM.

No comments: