NA Mwandishi Wetu,Tanga.
MKUTANO
Mkuu wa Dharura wa Wanachama wa Klabu ya Coastal Union
unatarajiwa
kufanyika kesho Mei 17 mwaka huu kwenye ukumbi wa Bwalo la
Sababu
za Mkutano huo kufanyika katika Ukumbi la Polisi Mesi ni
kutokana
na makao makuu ya klabu ya Coastal Union kuendelea mchakato
wa
uandikishaji wa vitambulisho vya Taifa na upigaji picha wananchi
kwa
ajili ya vitambulisho hivyo.
Akizungumza
leo,Ofisa Habari wa Coastal Union,Oscar Assenga alisema
maandalizi
ya mkutano huo yanaendelea vizuri na unafanyika kufuatia
vikao
vya maridhiano ya Uhakikiwa wanachama wa Klabu ya Coastal Union
ulioongozwa
na Mjumbe wa Kamati
ya
Utendaji ya Shirikisho la soka nchini (TFF) Ahmed Iddi Mgoyi.
Ambapo
alisema baada ya kumalizika vikao hivyo,Katibu Mkuu wa TFF,
Mwesigwa
Selestine aliiandikia barua Klabu ya Coastal Union akiiagiza
klabu
hiyo kuitisha mkutano mkuu wa dharura wa wanachama tarehe 17 Mei
mwaka
2015.
Alisema
kuwa matokeo ya maamuzi haya yamepatikana baada ya kikao cha
usuluhishi
cha amani kilichoongozwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya
TFF,
Ahmed Iddi Mgoi aliyekuwa ameongozana na Makamu Mkurugenzi wa
Sheria
na Uanachama shirikisho la soka nchini (TFF) Eliud Peter Mvella
kilichofanyika
April 13 mjini hapa.
Aidha
alisema kuwa tayari shirikisho la soka nchini (TFF) ilishatuma
orodha
tatu za majina Wanachama stahiki,Wanachama waliobainika kuwa
wanadosari
na inabidi wathibitishwe na wanachama stahiki.
Orodha
nyengine ni waombaji wapya wa wa uanachama watakaohakikiwa na
wanachama
stahiki ambapo utaratibu huo ndio ulioagizwa kutumika .
Hata
hivyo alisema kuwa orodha zote zimekwisha kubandikwa kwenye ubao wa
Matangazo
wa Klabu ya Coastal Union tayari kwa ajili ya mkutano huo wa
kesho(leo)
No comments:
Post a Comment