Wednesday, May 13, 2015

TIGO YAZINDUA USAJILI WA KUZALIWA KUPITIA SIMU ZA MKONONI KWA KANDA YA ZIWA


Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Ummy Mwalimu(kushoto)akionyesha moja kati ya simu 350 zilizotolewa na Kampuni ya Tigo kwa ajili ya mkakati wa usajili wa watoto waliozaliwa  wenye umri chini ya miaka mitano kwa njia ya simu kwa kutumia  mtandao wa Tigo,wakati wa uzinduzi uliofanyika  Mkoani Mwanza jana,kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Ziwa Ali Maswanya,Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Baraka Konisaga,Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa usajili,ufilisi na udhamini(RITA) Emmy Hudson na Meya wa jiji la Mwanza Stanslaus Mabula(aliyevaa miwani)

No comments: