Wednesday, May 20, 2015

TIZAMA ALICHIKIFANYA PROSESA JAY NA CHADEMA YAKE HUKO MWANZA JANA


Nimekuwekea picha za mkutano wa chadema ambao ulifanyika jana katika viwanja vya nyamagana jijini mwanza mkutano ambao ulihutumiwa na viongozi mbalimbali wa CHADEMA akiwemo msanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya PROFESA JAY.chukua muda wako kutizama baadhi ya picha za mkutano huo
Wakati Huo Peter Msigwa Anasema=>MKUTANO WA CHADEMA LEO:  tar 21/05/2015 Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) Iringa Mjini linawakaribisha kwenye mkutano wa hadhara KIHESA kuanzia saa 8 -12 jioni. HALIMA MDEE , GRACE KIWELU , CHIKU ABWAO, JOYCE MKYA,PETER MSIGWA .











No comments: