Thursday, June 18, 2015

Tigo donates 320m/- to support clubfoot treatments at CCBRT

    Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez akiongea na waandishi  wa habari wakati wa hafla ya kutoa msaada wa dola za kimarekani  150,000 kwa hospitali ya CCBRT kwa ajili ya kutibia watoto waliozaliwa na matatizo ya kupinda miguu.

Afisa Mtendaji Mkuu wa hospitali ya CCBRT, Erwin Telemans akiongea na waandishi  wahabari, kuishukuru kampuni ya Tigo kwa kutoa msaada wa dola za kimarekani 150,000 kwa ajili ya kutibia watoto waliozaliwa na matatizo ya kupinda miguu

    Daktari wa upasuaji wa mifupa wa CCBRT Prosper Alute akielezea jinsi gani watoto wanazaliwa na matatizo ya kupinda miguu, wakati wa hafla ya kukabidhi msaada toka kampuni ya Tigo  kwa hospitali ya CCBRT.

    Meneja wa Mawasiliano wa Tigo John Wanyancha akisisitiza jambo mara baada ya kampuni ya Tigo kutoa msaada wa dola za kimarekani 150,000 kwa hospital ya CCBRT leo.

Meneja  Mkuu waTigo Tanzania Diego Gutierrez akimkabidhi mkataba Afisa Mtendaji Mkuu wa hospitali ya CCBRT Erwin Telemans mara baada ya kusaini mkataba wa kampuni ya Tigo kutoa msaada wa dola za kimarekani 150,000 kwa hospitali ya CCBRT

Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez (wapili kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa hospitali ya CCBRT, Erwin Telemans (watatu kulia) wengine kulia Meneja Uwajibikaji kwa Jamii wa Tigo Bi. Woinde Shisael na kushoto ni Dk.Prosper Alutewa CCBRT.

 Mama ambaye mtoto wake amezaliwa na tatizo la kupinda miguu, Joyce Mushi akitoa ushuhuda jinsi gani mwanae alipatiwa matibabu na hospitali ya CCBRT.

Sehemu ya waandishi wa habari waliohudhuria hafla ya makabidhiano ya dola za kimarekani 150,00 baina ya Tigona CCBRT


As part of its commitment to promote community wellbeing, Tigo has awarded $150,000 (320m/-) over the course of three years to Comprehensive Community Based Rehabilitation in Tanzania (CCBRT) to support clubfoot treatments at its Disability Hospital.
  
Announcing this initiative in Dar es Salaam today, Tigo Tanzania General Manager, Diego Gutierrez, said that this support of clubfoot treatments demonstrates Tigo’s continuing commitment to support healthcare service provision at CCBRT. Previously, Tigo funded surgeries to correct cleft lip/ palate.

“More than 1,300 children have benefitted from life-changing cleft lip and palate surgeries at CCBRT over the past three years. This is an achievement that makes all of us at Tigo feel very proud. Through treating people living with disabilities, Tigo and CCBRT are making a lasting impact on the wellbeing of individuals, families and communities in Tanzania,” Gutierrez said.

CCBRT’s Chief Executive Officer, Erwin Telemans shared, “1,700 children are born with clubfoot each year in Tanzania and because of this condition, they will have difficulty walking or could even be prevented from walking at all.”

Telemans added: “People living with clubfoot can experience challenges attending school or earning an income, and often face discrimination in their communities. However, clubfoot is treatable. If a child can access treatment for clubfoot at a very young age, the treatment is also very inexpensive. CCBRT is proud to partner with Tigo to help reach all Tanzanians in need of clubfoot care.”


No comments: