Tuesday, July 7, 2015

BANDA LA TIGO LAFURIKA UMATI WA WATU KWENYE MAONESHO YA KIMATAIFA SABASABA

ipp
Watoa huduma kwa wateja wa Kampuni ya Tigo  wakiendelea na huduma zao kwa wateja waliohudhuria kwa wingi banda la Tigo kwenye maonesho wa kimataifa ya sabasaba jijini Dar Es Salaam.
ipp
ipp
ipp
ipp
ipp
Msanii wa bongo fleva Shilole, alikuwa mmoja kati ya waliohudhuria banda la Tigo kwenye maonesho wa kimataifa ya sabasaba jijini Dar Es Salaam

No comments: